UNATUMIA KIUNGO GANI KUTAZAMA MBALI?

By Unknown

UNATUMIA KIUNGO GANI KUTAZAMA MBALI?

  UNATUMIA KIUNGO GANI KUTAZAMA MBALI? Mwili wa binadamu unaviungo vingi kila kimoja kikiwa na kazi yake. Ipo pia milango ya fahamu ambayo kwa kuhisi, kunusa, kuonja na kwa kuona hufanya kazi. Viungo hivi na milango hii ya fahamu si tu kwamba ipoContinue Reading...

Kuelekea Uhuru wa Kifedha - II

By Unknown

Kuelekea Uhuru wa Kifedha - II

  KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA II (THE BIBLICAL LAWS OF MONEY) Toleo lililopita tuliangazia kanuni moja muhimu sana ili kuelekea mafanikio ya kiuchumi katika maisha ya mtu; kanuni ya uzalishaji bidhaa au huduma. Kanuni hii huwa haimzungumziwi sana lakini ni kanuni muhimu sanaContinue Reading...

Kuelekea Uhuru wa Kifedha

By Unknown

Kuelekea Uhuru wa Kifedha

  KUELEKEA UHURU WA KIFEDHA (THE BIBLICAL LAWS OF MONEY) Tafiti mbalimbali zinaeleza kwamba, moja ya changamoto kubwa ulimwenguni hasa bara la Afrika ni umasikini mkubwa wa kipato. Ni ukweli unaosikitisha, na eneo hili ni moja ya maeneo ambayo hayana msisitizo mkubwa ndaniContinue Reading...

USIWAPELEKE MAHALI USIPOWEZA KUWATOA

By Unknown

USIWAPELEKE MAHALI USIPOWEZA KUWATOA

  USIWAPELEKE MAHALI USIPOWEZA KUWATOA Hili ni jambo la msingi kwa kiongozi wa ngazi yoyote ile, haijalishi ni ngazi ya familia, kata, kampuni, taasisi binafsi au kiongozi wa siasa. Kuna maeneo ukiwafikisha watu au ukiwapeleka unaowaongoza hautaweza kuwatoa wote kwa usalama. Kiongozi lazimaContinue Reading...

Utimilifu wa kusudi lako......

By Unknown

Utimilifu wa kusudi lako......

  UTIMILIFU WA KUSUDI LAKO UTAHITAJI MAFUNGO Ni kwa zaidi ya miaka mitatu sasa Programu yetu (Life Minus Regret) imekuwa kazini katika kuwasaidia watu kujua makusudi ya kuumbwa kwao na kuyaishi. Tumekuwa tukiwahamasisha vijana wamjue Mungu ili naye awaambie wao (vijana) ni akinaContinue Reading...